Year: 2024
BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR – LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA 72
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha...
RAIS SAMIA AAGIZA HUDUMA ZA DHARURA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA KIMBUNGA HIDAYA
RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya. Hayo yamesemwa...
PROF. MKENDA KUWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU KESHO MEI 07,2024
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda kesho Ijumanne, Mei 07, 2024 anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Wizara...
ACT WAZALENDO KUMSIMAMISHA ZITTO KABWE KUGOMBEA URAIS 2025
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema kuwa wao kama Chama katika miaka yao 10 kama Chama chenye...
MBUNGE SILLO AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUTOA GARI LA KUBEBA WAGONJWA
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo, amekabidhi gari...
TIC, AZANIA BANK WAZINDUA KITUO CHA KISASA CHA KUTOLEA HUDUMA
Katika kuongeza ufanisi na kuendelea kutoa huduma kisasa zaidi zenye kiwango cha hali ya juu, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)...
ELIMU SAHIHI YA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII KWA WATOTO
Jamii imetakiwa kuhakikisha inawajengea uwezo watoto kwa kuwapatia elimu ya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na ujasiriamali itakayoweza kuwasaidia...
HUDUMA YA MWENDOKASI IANZE MBAGALA – MHE. NYAMOGA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro...
MREMBO MISS TANZANITE AGAWA TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI
Mrembo Miongoni mwa Washindi wa Taji la Miss Tanzanite Manyara 2023/2024 Miss Eva Godwin ametoa msaada wa Taulo za Kike...