Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amerejesha fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama na kupokelewa na Naibu Katibu Katibu Mkuu- Bara, Benson Kigaila.
Lissu amerejesha fomu hiyo Jumatano, Desemba 18, 2024 katika ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni jijini Dar es Salaam.