TIMU YA MAJAJI WA BONGO STAR SEARCH 2024 WATEMBELEA MATI SUPER BRANDS

0

Timu ya Majaji wa Shindano la kusaka vipaji Bongo Star Search 2024 wametembelea Kiwanda cha Mati Super Brands LTDambao ndio wadhamini wa Shindano hilo kuipitia kinywaji cha Strong Dry Gin
Strong Dry Gin.

Team hiyo imeongozwa na Cheaf Judge Madame Rita, Master J, S2kizzy Zombie, Salama Jabir na wengine, Shindano hilo linafanyika leo Decemba 7 na 8, 2024 katika Eneo la Olympic Lounge Babati.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *