Month: November 2024
DKT. TULIA ASHIRIKI IBADA MADHABAHU YA SAUTI YA UPONYAJI NA REHEMA ISYESYE JIJINI MBEYA
Rais wa Mabunge Duniani Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini...
KAPINGA AENDELEA NA MCHAKAMCHAKA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi...
TAWA YAIDHIBITI NCAA SHIMMUTA
Timu ya wavuta kamba (Me) ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) leo Novemba 23, 2024 imeibuka mshindi wa...
NAIBU WAZIRI SANGU AWATAKA WANACHI KUICHAGUA CCM, AMTAJA RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma a Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Kwela, Mhe.Deus...
CHATO MSIFANYE MAKOSA KUCHAGUA VYAMA VINGINE – DKT. BITEKO
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na...
MBUNGE MAVUNDE AWAOMBA WANADODOMA KUJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI UCHAGUZI
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amewaomba wana Dodoma kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa kuchagua viongozi...
MPENZI WANGU ALINITAPELI SH5.7 MILIONI ILA AMEZIRUDISHA MWENYEWE!
Naitwa Amida, msichana wa miaka 26, mkazi wa Tanga, Tanzania, nilikutana na huyu kijana ofisi yetu iliipa tenda ofisi yao,...
CCM YASAKA USHINDI WA KISHINDO MBOGWE
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na...
DKT. MOLLEL ANADI SERA ZA CCM NA KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA UENYEKITI WA MITAA NA VIJIJI
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel, leo ameongoza kampeni za Chama Cha Mapinduzi...