BIL 18 ZIMEHUSISHA MATENGENEZO MIUNDOMBINU YA BRT (FERRY-KIMARA, MAGOMENI-MOROCCO NA FIRE-MSIMBAZI) SIO MRADI WA JANGWANI PEKEE
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo...