Day: November 19, 2024
AWESO ASISITIZA MRADI WA MKINGA-HOROHORO UKAMILIKE KWA WAKATI
Leo tarehe 19 Novemba, 2024 Mhe Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ametembelea Wilaya ya Mkinga mkoa wa Tanga na...
WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA SEKTA YA MADINI
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ametoa Maagizo kwa Wizara ya Madini kuhakikisha inasimamia vyama vya wachimbaji wadogo wa madini ili...
TANZANIA NA ITALIA KUSHIRIKIANA KATIKA MASUALA YA UTALII NA UKARIMU
Tanzania kupitia Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) na Italia kupitia Taasisi ya ENAIP - Veneto Impresa Sociale ya Italia...
WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU WAANZA KUPATA MIKOPO YA 10%
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amezindua Rasmi zoezi la utoaji wa Mikopo ya Asilimia 10 kwa...
MINING COMMISSION SHOWCASED OPPORTUNITIES AT 2024 MINING CONFERENCE
The Mining Commission actively participated in the Tanzania Mining and Investment Conference 2024, held at the Julius Nyerere International Convention...
KUANZIA JANUARI 2025, VIVUKO VITAKUWA VINASUBIRIA ABIRIA, SEA TAX KUONGEZWA DAR: BASHUNGWA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa kushirikiana Kampuni ya Azam...
REA KUSHIRIKIANA NA NJOMBE KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI ZAIDI YA 13,000
Mkoa wa Njombe umeahidi kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kusambaza mitungi ya gesi ya kupikia13,020 ili wananchi...
CCM YASAMBAZA VIONGOZI NA MAKADA WAANDAMIZI NCHI NZIMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, anatarajiwa kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za...
RC MAKONDA ASISITIZA AMANI NA UTULIVU KAMPENI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Leo Jumanne Novemba 19, 2024 kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian...