DKT. TULIA AKUTANA NA BALOZI HUNGARY NCHINI TANZANIA

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Hungary nchini Tanzania, Mhe. Zsolt Mészáros kwenye Ukumbi wa Watu Mashuhuri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 5 Oktoba, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *