YANGA PRINCESS YAINYOA SIMBA QUEENS

0

Timu ya Wanawake ya Yanga Princess imeingia hatua ya fainaili ya Ngao ya Jamii baada ya kuwachapa mahasimu wao wakubwa, Simba Queens kwa penatı (4-3) baada ya mchezo mkali uliopigwa katika la KMC, Kinondoni kumalizika kwa sare ya goli 1-1.

Kwa matokeo hayo, mchezo wa fainali utazikutanisha JKT Queens na Yanga Princess. Hii ni baada ya JKT Queens kuichapa Ceasiaa Queens magoli 7-0

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *