MKAGUZI WA TAA KUTOKA CAF, AKIFANYA UKAGUZI BENJAMIN MKAPA
Mkaguzi wa taa za uwanja kutoka CAF, Eric Chauvin akifanya ukaguzi kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jana usiku ikiwa ni maandalizi ya fainali za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN yatakayofanyika Februari 1-28, 2025 @caf_online