Month: October 2024
FEDHA ZA FAMILIA ZILIPOTEA KISHIRIKINA, MTU HUYU NDIYE ALITUSAIDIA!
Naita Nandera, mkazi wa Mwanza, ninaishi na Shangazi yangu, kuna kipindi ilipotea hela ya vikoba kama Sh3.8 milioni nyumbani,Shangazi yangu...
REA YATOA KIPAUMBELE UJENZI MIRADI YA NISHATI JADIDIFU
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye ujenzi wa miradi ya nishati jadidifu nchini ili kusaidia utunzaji wa mazingira,...
SERIKALI KUJA NA MRADI WA KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME VITONGOJINI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia kuanza mradi mpya wa upelekaji umeme vitongojini utakaohusisha ujenzi wa...
RAIS SAMIA APAMBANIA MFUKO WA MAJI WA TAIFA
Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF) unafanikisha ujenzi wa miradi ya maji katika maeneo yenye uhitaji mkubwa hapa nchini.NWF inalo...
TANZANIA MBIONI KUZALISHAJI MADINI YA NIOBIUM
Imeelezwa kwamba Tanzania ipo mbioni kuanza uzalishaji wa madini ya Niobium ambayo ni moja ya madini adimu yanayotumika katika mitambo...
MIKAKATI YA RAIS SAMIA, TANZANIA KUWA NAMBA MOJA UZALISHAJI WA CHAKULA AFRIKA
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelezea dira yake ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula barani Afrika...
WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI ZINGATIENI SHERIA – BALOZI AMOUR
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi, Mhandisi Aisha Amour amewataka Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuzingatia Sheria, Taratibu na...
NHC WAFANYA UKARABATI MKUBWA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU KONGWA
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limekamilisha ukarabati mkubwa wa nyumba za gharama nafuu wilayani Kongwa, mkoani Dodoma. Hatua hii...