Day: September 24, 2024
WATUMISHI WA DART TIMIZENI MAJUKUMU YENU IPASAVYO – MHE. KATIMBA
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amewataka watumishi wa wakala wa mabasi yaendayo haraka 'DART' kuhakikisha wanatimiza majukumu...
SERIKALI KUANZA UJENZI WA SONGEA BYPASS, KUONDOA MSONGAMANO WA MALOLI SONGEA MJINI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imedhamiria kuondoa msongamano wa magari makubwa katikati ya Mji wa Songea kwa...
JIMBO LA PERAMIHO-RUVUMA KUFIKIA ASLIMIA 85% UPATIKANAJI WA MAJI – AWESO
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amesema upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama katika jimbo la Peramiho umefikia Asilimia...
RAIS SAMIA APONGEZA UJENZI WA SHULE CHIEF ZULU KWA MAPATO YA NDANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Halmashauri ya Manispaa ya Songea kwa kutenga...
MKAKATI WA MATUMIZI YA MAJI KWA KUZINGATIA MAHITAJI YA KILA SEKTA UMELETA MAFANIKIO- KAPINGA
Imeelezwa kuwa, Mkakati wa ushirikiano uliowekwa na Wizara zinazohusika na Sekta ya Maji ili kutoa elimu ya kulinda vyanzo vya...
UMOJA WA MABUNGE DUNIANI WAJIHAKIKISHIA USHIRIKIANO ENDELEVU NA UMOJA WA MATAIFA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia...
TANZANIA HAIFUNGAMANI NA NCHI MOJA KUENDELEZA MADINI MKAKATI – DKT. KIRUSWA
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameeleza kuhusu dhamira ya Serikali ya Tanzania kuwa haifungamani na mkakati kutoka nchi...
ASKOFU BAGONZA ATAMBUA KAZI NZURI YA TARURA
•Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa aipongeza TARURA Manunuzi Kidigitali/kielektroniki Karagwe Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson...
ALIYEJIFANYA JAKAYA MRISHO KIKWETE AFAKISHWA MAHAKAMANI
Mahakamani ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimani mkazi wa Mabwe pande, Shembiu Shekilaghe(38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za...