Day: September 21, 2024
ATAKAEJIUSISHA NA UBADHIRIFU WA MIKOPO YA 10% KUCHUKULIWA HATUA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema hatosita kuwachukulia hatua za kinidhamu na kisheria maafisa...
TANZANIA YA SITA DUNIANI, ONGEZEKO LA WATALII
Ukuaji wa Utalii Tanzania Chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan: Zama Mpya za Fursa Chini ya uongozi wa...
MKATABA UJENZI WA BARABARA YA IRINGA – MSEMBE WASAINIWA, BILIONI 142.5 KUTUMIKA
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe inayoelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (km 104)...
NAIBU WAZIRI MHE.SANGU AVIPIGIA CHAPUO VIKUNDI VYA TASAF MIKOPO YA HALMASHAURI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amezielekeza Halmashauri Mkoani Tabora...
SERIKALI YAWAVUTIA KASI WATUMISHI WAZEMBE
Serikali imesema haitawavumilia Watumishi wa Umma wenye kasumba ya kufanya kazi kwa mazoea hali inayopelekea malalamiko kutoka kwa wananchi kwa...
RC MAKONDA ATAHADHARISHA KUHUSU WALAGHAI WANAOTUMIA NENO LA MUNGU KURUBUNI WANANCHI
Akizungumza na maelfu ya Wananchi wanaohudhuria Kongamano kubwa la Operesheni Washa Taa linaloratibiwa na Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la...