JESHI LA POLISI TANGA WAMEZUIA MKUTANO MAKAMU MWENYEKITI BARA TUNDU LISSU

0

Jeshi la Polisi Wilaya Tanga wamezuia mkutano hadhara uliotarajiwa kufanyika leo 20/09/2024 Tanga Mjini, mgeni rasmi akiwa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Lissu kwa kile walichodai kuwa mkutano huo ni maandalizi ya maandamano ya Septemba 23, 2024 Jijini Dar es salaam.

Mkutano huo ulikuwa uambatane na zoezi la kuhani msiba wa Mzee Ali Mohamed Kibao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *