SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MPYA WA BUNGE

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Ildephonce Leonard leo tarehe 19 Septemba, 2024 katika ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *