TIMU YA YANGA YAWASILI NCHINI ETHIOPIA

0

Timu ya Wananchi, Yanga imewasili nchini Ethiopia ambapo inatarajiwa kushuka dimbani kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya CBE SA.

Yanga itacheza mchezo huo siku ya Jumamosi Septemba 14, 2024, saa tisa alasiri.

Inashuka dimbani kuusaka ushindi wa ugenini ili kujihakikishia nafasi nzuri ya kuingia kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *