TAIFA STARS YANG’ARA GUINEA

Ushindi muhimu kwa Tanzania katika harakati za kufuzu AFCON 2025 ambapo kwa sasa Stars imefikisha alama 4.
Zanzibar Finest Feisal Salum na Zanzibar Greatest Mudathir Yahya wamezileta alama tatu katika ardhi ya Mama Kizimkazi.
FT: Guinea 1-2 Tanzania


MSIMAMO KUNDI H
- DR Congo Pts 6 (2P)
- Tanzania Pts 4 (2P)
- Ethiopia Pts 1 (2P)
- Guinea Pts 0 (2P)