LADY JAYDEE – HII DHAMBI YA KUUA WATU HOVYO INANCHOCHEA CHUKI

0

Hii dhambi ya kuua watu hovyo inachochea chuki sana baina ya watu na watu. Hadi siku atakapouwawa ndugu au mtu wako wa karibu ndio utaujua uchungu wake. RIP kwa wote waliouwawa bila hatia. Hakuna anaestahili kufa kifo cha kinyama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *