KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AWATA WATENDAJI KUFANYA KAZI KWA WELEDI

0

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri akiwa na watumishi wa Sekta ya Maji mkoani Mbeya ambapo ametumia wasaa huo kuwashirikisha masuala ya huduma ya maji na kuwataka kufanya kazi kwa umoja na weledi ili kufikia malengo ya kufikisha upatikanaji maji kwa asilimia 95 mijini na 85 vijijini. Aidha, amewasikiliza kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi na kutoa majibu yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *