DKT. TULIA AIPONGEZA MBEYAUWSA KWA KUONGEZA KASI YA USAMBAZAJI MAJI

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini, Mhe. Dkt.Tulia Ackson, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYAUWSA) kwa kuongeza kasi ya usambazaji maji kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali ikiwemo Jijini Mbeya.

Dkt. Tulia ametoa pongezi hizo leo tarehe 7 Agosti, 2024 wakati alipotembelea ofisi za mamlaka hiyo zilizopo Sabasaba Jijini Mbeya kwa lengo la
kupokea taarifa za miradi mbalimbali inayofanywa na Mamlaka hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *