RC SENYAMULE KUIUNGA MKONO TAASISI YA DODOMA KWANZA

0

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameahidi kuiunga mkono Taasisi ya Dodoma Kwanza katika fursa mbalimbali zitakazokuja Mkoani humo ikiwa ni pamoja na Show binafsi za serikali pamoja na Ubalozi (brand ambassadors) kwa wasanii wayakaofanya vizuri na kuwa na mvuti na mashabiki wengi.

Ahadi hiyo ya kuwaunga mkono ameitoa Leo Julai 30, 2024 wakati Taasisi hiyo wakiambatana na mwenyekiti wa club ya Bongo Flavour Mkamanga na wawakilishi wengine walipomtembelea ofisini kwake huku wakishukuru ushirikiano waliopatiwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *