K- FINCO WATEMBELEA MIRADI YA NHC KUANGALIA FURSA YA UWEKEZAJI

0

Shirika linalojihusisha na utoaji wa Fedha katika kuendeleza wa miradi katika sekta ya ujenzi kutoka Korea Kusini (K – Finco) ukiongozwa na Mtendaji Mkuu wa fedha wa Shirika hilo Bibi Eun JAE Lee Leo Julai 27, 2024 wametembelea mradi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa 711 uliopo Kawe, Dar es Salaam ukiwa na lengo kufahamu fursa za uwekezaji ndani ya Shirika la Nyumba la Taifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *