WAZIRI AWESO AANZA ZIARA MKOANI MOROGORO

0

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewasili Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Siku moja ya kukagua na kufuatilia hali ya huduma ya upatikanaji wa Maji katika Mji wa Morogoro.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *