DODOMA YA KABIDHI MWENGE WA UHURU MKOA SINGIDA

0

Picha na Matukio mabali mbali za mwenge wa uhuru mwaka 2024 ukikabidhiwa katika Mkoa wa Singida Wilayani Manyoni mara kukimbizwa katika Mkoa wa Dodoma kilomita 1984 pamoja na kukagua miradi 52 ya maendeleo.

Mwenge wa uhuru uliwasili Mkoani Dodoma tarehe 27/06/2024 na kuzunguka katika Wilaya zote 7 za Mkoa wa Dodoma huku ukizundua miradi ya maendeleo iliyopo katika Jiji hilo.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma RoseMary Senyamule amepongeza uongozi wa mbio za mwenge kwa uzinduzi wa miradi pamoja na kutoa maelekezo kwa baadhi ya miradi huku Mkuu wa mbio za mwenge kitaifa Godfrey Mnzava akitoa pongezi kwa kamati ya ulinzi na usalama hususani Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa kushiriki vyema katika ulinzi pamoja na hamasa katika mbio hizo za mwenge.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *