RAIS SAMIA KUGARAMIKIA MATIBABU YA KIJANA EDGAR (SATIVA) ALIYETEKWA NA KUTESWA

0

Ni kufuatia taarifa iliyotolewa na Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe baada ya kumtembelea kijana aliyetekwa na kuteswa kwa kujeruhiwa kwa risasi Ndugu Edgar Mwakabela (Sativa) hospitalini na mara baada ya kutoka hapo akabainisha kuzungumza na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo Julai 2, 2024 inaeleza kuwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *