MPINA AFUNGIWA VIKAO 15 VYA BUNGE
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amefungiwa kuhudhuria vikao 14 vya Bunge kuanzia leo Juni 24, 2024 baada ya 'kutiwa hatiani'...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amefungiwa kuhudhuria vikao 14 vya Bunge kuanzia leo Juni 24, 2024 baada ya 'kutiwa hatiani'...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Modern Industrial...
NA: JOSEPHINE MAJULA, WF, TABORA Taasisi za Uwekezaji nchini zimetakiwa kuongeza wigo wa kujitangaza na kuwaelimisha wananchi kuhusu huduma wanazotoa...
Vijana zaidi ya 175 wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe (UVCCM) wamehitimu mafunzo...
Katika sehemu ya kushiriki Kongamano la Kumi na Tano la Ujenzi na Uwekezaji katika Miundombinu (15th International Infrastructure Investment and...
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imekutana na wadau wa Mbolea wa Mkoa...
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limewaagiza watoa huduma za usafirishaji majini ikiwemo mawakala wa uondoshwaji na uondoaji mizigo...
Mahakama ya Wilaya Karagwe imemtia hatiani Afisa Mifugo wa Kijiji cha Nyaishozi - MWENGE DATIUS MATHIAS. Mshtakiwa ametiwa hatiani kwa...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia TANROADS imekamilisha ujenzi wa Mzani mpya...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, ameziagiza Timu za Afya za mkoa na wilaya kutoa kipaumbele katika kuwapatia makazi...