MBUNGE TOUFIQ ATOA SADAKA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA

0

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Fatma Toufiq ametoa sadaka ya Eid El Hadj Kwa baadhi ya Vituo vya watoto yatima vilivyopo wilaya ya Dodoma Mjini sadaka iliotolewa kwa msaada wa Ubalozi wa UAE.

Mhe. Toufiq ameishukuru Taasisi ya El Hikma Foundation kwa kushirikiana naye kufanikisha jambo hilo muhimu la ibada ya kuwakumbuka Yatima.

Issa Shayo akimuwakilisha mbunge huyo kukabidhi mboga Nyama iliyotolewa na ubalozi huo amesema Sadaka hiyo imewafikia walengwa kama ilivyokusudiwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *