RC CHALAMILA AZINDUA KAMPENI YA UTOAJI ELIMU KWA UMMA, TOST WAASWA KUZINGATIA SHERIA ZA KODI

0

Ofisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Tanzania, (Tax Ombudsman Services Tanzania( TOST)) leo Juni 19, 2024 wazindua kampeni ya Utoaji elimu kwa Umma ili kuitambulisha Ofisi hiyo kwa jamii.

Elimu hiyo imeshaanza kutolewa katika katika Ukumbi wa Anatoglo Mnazimmoja jijini Dar es Salaam na kuendela katika viwanja vya Mnazi mmoja na baadae katika Viwanja vya Mlimani City jijini Dar es Salaam kuanzia Juni 23 hadi 25, 2024.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewasiitiza Ofisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na taarifa za kodi Tanzania kusimamia upatikanaji wa Vifaa na mifumo ya kisasa ili iweze kutoa huduma bora ya ulipaji kodi kwani mifumo hiyo itakusanya kodi kwaajili ya maendeleo ya taifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *