KILO YA TOMATO KUTOZWA KODI KWA KIWANGO CHA TSH. 300

0

“Kutoza Ushuru wa Bidhaa kwa kiwango cha Shilingi 300 kwa kilo ya tomato sauce na tomato ketchup (HS Code 2103.20.00), pamoja na chilli sauce na chilli ketchup (HS Code 2103.90.00) zile zinazotoka nje ya nchi,”

“ Lengo la hatua hii ni kuongeza mapato ya Serikali na kupata fedha za fidia ya athari hasi zinazotokana na matumizi ya sukari na chumvi
iliyopo katika bidhaa hizo,Hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 634,”

Akiwasilisha Mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25 Leo Alhamisi Juni 13,2024 Bungeni Jijini Dodoma Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *