CHUPA YA BIA KUTOZWA SHILINGI 963.90 KWA ZINAZOINGIZWA KUTOKA NJE YA NCHI

0

“Kutoza Ushuru wa Bidhaa kwa kiwango cha Shilingi 963.90 kwa lita ya bia isiyochujwa, yaani opaque ya mfano wa Kibuku (HS Code 2206.00.20) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi, na Shilingi 2,959.74 kwa lita ya pombe zenye mchanganyiko wabmatunda (HS Code 2206.00.90) zinazotoka nje ya nchi,Lengo la hatua hii kuleta usawa katika utozaji Kodi, Hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya
Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 327,

Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akiwasilisha Mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25 Leo Alhamisi Juni 13,2024 Bungeni Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *