RAMADA RESORT DSM YAKANUSHA TUHUMA ZA KUHUSIKA NA USHOGA

0

Ramada Resort Dar es Salaam imekanusha taarifa iliyosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu kuwa na ushirikano na  Shirika la LGBTQ na kufanya vitendo kinyume na kanuni na maadili ya kitanzania.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo June 4, 2024 na Uongozi na Ramada Resort Dar es Salaam inayoeleza kuwa wataendelea kuzinazingatia kanuni na maadili  ambazo zinaambatana na viwango vya Tanzania na vya kimataifa. 

Taarifa hiyo imeeleza kuwa Ramada Resort Dar es Salaam inapenda kuufahamisha umma kwamba inazingatia kanuni na maadili  ambazo zinaambatana na viwango vya Tanzania na vya kimataifa. 

“Shughuli zetu zinazingatia kikamilifu sheria na kanuni za Tanzania, huku tukihakikisha kuwa kazi zetu zote ni halali na zina zina heshimu jamii inayotuzunguka”

“Hii inajumuisha kutoa maagizo kwa wageni wote kujisajili mara tu wanapowasili na kutoa vitambulisho halali”

soma zaidi 👇

{“data”:{“pictureId”:”44bc7ece0c34452ebaf99c152a11f7e2″,”appversion”:”3.8.0″,”stickerId”:””,”filterId”:””,”infoStickerId”:””,”imageEffectId”:””,”playId”:””,”activityName”:””,”os”:”android”,”product”:”retouch”,”exportType”:”image_export”,”editType”:”image_edit”},”source_type”:”vicut”,”tiktok_developers_3p_anchor_params”:”{\”source_type\”:\”vicut\”,\”client_key\”:\”aw889s25wozf8s7e\”,\”picture_template_id\”:\”\”,\”capability_name\”:\”retouch_edit_tool\”}”}

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *