DKT. TULIA AONGOZA WANANCHI WA MBEYA MJINI KUFANYA USAFI

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 1 Juni, 2024 amewaongoza Wananchi wa Mbeya Mjini kushiriki zoezi la kufanya Usafi katika maeneo mbalimbali ya Jiji hilo ikiwa ni ishara ya kuunga mkono kampeni ya Usafi wa Mazingira Kitaifa inayofanyika kila Juni 1 ya kila mwaka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *