PICHA: WAZIRI SILAA NA NABII SUGUYE BUNGENI

0

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Slaa akisalimiana na Nabii Nicholous Suguye nje ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dodoma, mara baada ya Wabunge kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo ya mwaka 2024/2025.

Suguye ni Nabii wa Kanisa la WRM lililopo Kivule Matembele ya pili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *