BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI 2024/25 KWA KISHINDO

0

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Limeridhia kwa kishindo kwa asilimia mia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kuidhinisha Jumla ya Shilingi Trilioni 1,711,710,987,000. ili kuweza kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *