BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI 2024/2025

0

Bunge la Tanzania Limeridhia kwa kishindo kwa asilimia mia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kuidhinisha Jumla ya Shilingi Bilioni 460,333,602,000 ili kuweza kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *