BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2024/2025 YAPITISHWA BUNGENI

0

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia kwa kishindo kwa asilimia mia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa kuidhinisha jumla ya Shilingi trilioni moja, bilioni mia tatu kumi na moja, milioni mia nane thelathini na saba, laki nne na sitina na sita elfu (1,311,837,466,000.00) ili kuweza kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa Mwaka wa Fedha 2024 /2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *