UDAHILI VYUO VYA ELIMU YA UFUNDI WAONGEZEKA

0

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema imeongeza udahili katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 171,581 mwaka 2022/23 hadi wanafunzi 235,804 mwaka 2023/24

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akisoma Bungeni Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi Wizara hiyo leo 07 Mei, 2024 ameeleza kuwa ongezeko hili linatokana na kuongezeka kwa idadi ya vyuo vya elimu ya ufundi kutoka vyuo 465 (visivyo vya serikali 285) mwaka 2022/23 hadi vyuo 474 (visivyo vya serikali 294) mwaka 2023/24.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *