SERIKALI IMEANDAA MKAKATI WA KITAIFA WA MATUMIZI YA TEHAMA NA TEKNOLOJIA NYINGINE ZA KUFUNDISHIA

0

Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara hiyo amesema Serikali imeandaa Mkakati wa Kitaifa wa Matumizi ya TEHAMA na teknolojia nyingine za kufundishia na kujifunzia kwa lengo kuongeza ufanisi katika ufundishaji;
Ameyaeleza hayo leo 07 Mei, 2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo amebainisha kuwa

“Katika kuimarisha matumizi ya sayansi, teknolojia na ubunifu,imeendelea kusimamia bunifu mbalimbali zilizobuniwa kupitia watumishi na wanafunzi ili ziweze kufika hatua ya kuuzika sokoni, bunifu hizo ni uundaji wa mita za malipo kabla ya matumizi; Programu ya Bi – Shamba na Programu ya Leo Leo Gulio” amesema Waziri Prof. Mkenda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *