1,220 WAMEPATA UFADHILI WA MASOMO KUPITIA SAMIA SCHOLARSHIP

0

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali imetoa ufadhili kwa wanafunzi 1,220 kati ya 1,200 waliolengwa (wanafunzi wapya 915 na wanaoendelea 305) wenye jumla ya Shilingi Bilioni 6,367,169,632 kupitia SAMIA Scholarship.

Waziri Prof. Mkenda ameyasema hayo leo 07 Mei, 2024 Bungeni Jijini Dodoma wakati akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2024/2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *