SPIKA DKT. TULIA AWASILI MKOANI ARUSHA

0

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewasili Mkoani Arusha leo tarehe 30 Aprili, 2024 ambapo anatarajia kushiriki maadhimisho ya Sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kesho tarehe 1 Mei, 2024. Dkt. Tulia amepokelewa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *