News MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NAIROBI-KENYA uhondoHQ April 29, 2024 0 Picha na Kitengo cha Mawasiliano, WF, Nairobi-Kenya) Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akisalimiana na Waziri wa Fedha wa Sierra Leone, Mhe. Sheku Fantamadi Baagura, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango-Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akiteta jambo na Mshauri wa Rais wa Masuala ya Uchumi Dkt. Blandina Kilama (kushoto), kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa uchangiaji wa mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, jijini Nairobi, Kenya. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu El Maamry Mwamba, akiwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya. Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba, na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bi. Zuhura Yunus, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya. Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba na Balozi wa Comoro nchini Tanzania Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya. Continue Reading Previous FAHAMU MFUMO WA KIDIGITALI UNAOTUMIKA KUIMARISHA USALAMA WA CHAKULANext “ACHANENI NA MATENDO YANAYOKIUKA MAADILI” MBUNGE TOUFIQ More Stories News MBUNGE MAVUNDE AWAOMBA WANADODOMA KUJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI UCHAGUZI uhondoHQ November 23, 2024 0 News CCM YASAKA USHINDI WA KISHINDO MBOGWE uhondoHQ November 23, 2024 0 News DKT. MOLLEL ANADI SERA ZA CCM NA KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA UENYEKITI WA MITAA NA VIJIJI uhondoHQ November 23, 2024 0 Leave a Reply Cancel replyYour email address will not be published. Required fields are marked *Comment * Name * Email * Website Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ