JAJI KIONGOZI AWAFUNDA WATUMISHI WA MHAKAMA,ATOA ONYO KALI.

0

Watumishi wa mahakama nchini ameonywa kuacha mara  moja tabia ya kuendekeza majungu malumbano mahala pakazi na badala yake wafanye kazi kwa amani na utulivu ikiwa ni sehemu moja wapo ya kuwatumiakia watanzania.


 Jaji kiongozi wa mahakama kuu ya Tanzania Mstapher Siani amesema hayo mjini iringa wakati akifungua kikao cha tatu cha  baraza la kwanza la wafanyakazi wa mahakama  kuu – masilajala kuu ambapo pamoja na mambo mengine amewasihi watumishi hao kuweka kipaombele kwenye kazi zinazo wahusu badala ya kupoteza muda kwa mambo ya sio na tija.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *