Day: April 25, 2024
ASHTAKIWA KWA KUOMBA RUSHWA YA NGONO MKOANI TABORA
Aprili 25, 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora, mbele ya Mhe. Demetrio Nyakunga, Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya...
TANZANIA YANADI MAFANIKO YAKE SEKTA YA MADINI MKUTANO WA UWEKEZAJI WA MADINI MALAWI
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kwa kiwango kikubwa katika Sekta ya Madini kwa kuweka...
JAJI KIONGOZI AWAFUNDA WATUMISHI WA MHAKAMA,ATOA ONYO KALI.
Watumishi wa mahakama nchini ameonywa kuacha mara moja tabia ya kuendekeza majungu malumbano mahala pakazi na badala yake wafanye kazi...
PPRA NA ZPPDA ZASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO
IKIWA bado siku moja kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar Mamlaka ya Udhibiti wa...
TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI BARAZA LA MAWAZIRI WA MAJI KAMISHENI YA BONDE LA MTO ZAMBEZI
TANZANIA imechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa ZAMCOM katika mwaka 2024-2025 kwenye Mkutano wa 11 wa Baraza la Mawaziri wa Maji...
MHANDISI KUNDO AWASILI NCHINI MSUMBIJI ZIARA YA KIKAZI
NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew amewasili nchini Msumbiji leo Aprili 24, 2024 kwaajili ya kushiriki katika Mkutano wa...
BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI 2024/2025
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limepitisha shilingi Trilioni 1.8 kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Nishati...
UJENZI WA HOTELI YA KISASA NI KIVUTIO CHA UTALII CHATO
Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi na Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kisiwa cha Rubondo, Dkt. Iman Kikoti Amesema hoteli ya nyota...
TANZANIA NA CZECH MBIONI KUONDOA UTOZAJI WA KODI MARA MBILI
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimekamilisha majadiliano ya Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili yatakayowezesha...