AFARIKI KWA KUJICHOMA NA KITU CHENYE NCHA KALI TUMBONI GEITA

0

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Geita , Kamishina Msaidizi Mwandamizi SACP Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa kifo cha mwanamme Mmoja aliyefahamika kwa Jina la Mpanduji Msigwa (46) Mkazi wa Kijiji cha Busaka Kata ya Bwanga wilayani Chato Mkoani Geita aliyejiuwa kwa kujichoma tumboni na kitu chenye ncha kali kisha kufariki Dunia akiwa anapatiwa matababu katika kituo cha Afya Bwanga.

Aidha SACP. Jongo wakati akizungumza na waandishiwahabari amewataka wananchi kuacha kujichukilia sheria mkononi ikiwemo kujitoa uhai na atakayenusurulika baada ya kufanya jaribio hilo atachukuliwa hatua za kisheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *