NAIBU WAZIRI KATIMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WATUMISHI WA IDARA MIUNDOMBINU

0

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa mhe. Zainab Katimba amekutana na kufanya mazungumzo na watumishi wa idara ya miundombinu katika Ofisi ya Rais -TAMISEMI ambapo amewaomba kuwa na ushirikiano ili kufanikisha malengo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuleta maendeleo kwa watanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *