SPIKA DKT. TULIA AWAONGOZA WASHIRIKI BUNGE MARATHON

0
  • Ashiriki katika mbio za km 5

    Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), mgeni rasmi katika mbio za Bunge Marathon zilizofanyika leo tarehe 13 Aprili, 2024 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Mbio hizo za Bunge marathon zimehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Ndg. Kaspar Mmuya, Waheshimiwa Wabunge na Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc.

Lengo ni kukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 3 kwaajili ya kujenga Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Bunge Boys

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *