KALABA WA TP MAZEMBE AFARIKI DUNIA

0

Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Zambia na TP MAZEMBE Rainford Kalaba (37) amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari hii leo huko Zambia 🇿🇲

Mpenzi wake ambaye pia alikuwa kwenye gari hiyo nae amefariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *