MALU STONCH WA FM ACADEMIA AFARIKI DUNIA

0


TANZIA


Mwanamuziki wa Band ya FM acadia Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka akiwa jukwaani a .
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Target Mbezi Beach wakati mwanamuziki huyo akitumbuiza jukwaani.
Malu ni kati wanamuziki wakongwe wa muziki wa Dansi nchini aliyewahi kufanya kazi hiyo ya sanaa katika Band mbalimbali za muziki wa Dansi ikiwemo Chuchu Sound na pia ni miongoni mwa wanamuziki waliofanya mapinduzi ya muziki wa Dansi nchini .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *