ZAINABU AWASILI BUNGENI KWA MARA YA KWANZA AKIWA NAIBU WAZIRI

0

Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba Zainab Katimba akiwa anaingia bungeni leo kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa na kuapishwa kuwa Naibu Waziri anayeshughulikia Elimu Ofisi ya Rais – TAMISEMI.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Zainab Katimba akipongezwa na baadhi ya viongozi ikiwa ni siku yake ya kwanza ndani Bunge akiwa kama Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *