WAZIRI MASAUNI AKUTANA NA BALOZI WA URUSI NCHINI, WAJADILI USHIRIKIANO

0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kulia), kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Urusi katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisoma nyaraka ya masuala ya ushirikiano kati ya Tanzania na Urusi wakati alipokuwa akionyeshwa na Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kulia), katika mazungumzo yao yaliyofanyika, jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Urusi katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiagana na Balozi wa Urusi nchini, Andrey Avetisyan (kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Urusi katika kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili 5, 2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *