EDWARD LOWASSA AFARIKI DUNIA

0

Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Ndg. Edward Ngoyai Lowassa (70) amefariki dunia leo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, jijini Dar es Salaam alikokuwa akitibiwa.

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *